[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi nashindwa kuelewa mkuu kuwapa maswali ya namna hiyo watoto.Labda kaka yao tu anayeitwa Madenge ndiye anayeweza kujibu maswali magumu hivyo kama Ugali wa Wasukuma.
ningejua ni typing error au swali limetoka nje ya syllabus.Ungejb hvo mkuu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mbona nduki kal kakaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] umenikumbusha kuna pepa moja nilimaliza, ile nakusanya vyangu nitoke nashangaa mbabe mmoja wa geog anachora graph.jasho likaanza kutoka mikononi[emoji15] [emoji53] [emoji53] [emoji16]Mbaya zaidi unakuta swali la 7 ulijaza jibu ni 542 alafu manguli wa hesabu wanabishana jibu ni negative 2 au postive 2!!! hapo lzm ujijue wewe ni ki....za 🙁🙁🙁
kwan na VX ina paaaa hd ikutane na ndege?Nakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga km masikhara hivi!
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, utajutaa:
Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato. VX linatoka Chato saa nne kwenda Dar.
Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya VX ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, zitakutana sangapi?
Sa mi ntajuaje![emoji125][emoji125]
Na hizi tochi zote?!?
mbona simple, una assume VX imepata panchaNakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga km masikhara hivi!