Hatari! Ingieni kwa tahadhari

Mambo hayo yanaanza pale watu wanapoingezea thamani dini kwenye mnyororo wa thamani ujasiriadini upo sana ndio maana unakuta pombe inanywewa makanisani lakini
Kanisa la kweli la Mungu lipo na litaonekana kama linaanguka lakini halitakufa kabisa maana ndio safina ya kwenda Mbinguni
 
Huwa najiuliza haya makanisa yameibukia wapi?zamani tulikua na dhehebu rasmi chache tu,nwapongeza Rc wao wamejitahidi kubaki stronger lkn makanisa Mengi yamegawanyika na waumini kuhamia Hays makanisa ya kisasa
Kweli kanisa za leo wanalipia matangazo ya biashata kwa tv/radio?

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Wanamaombi charismatic ubungo?
 
Changamoto ni "PENTECOSTALISM" iliyopata kasi ktk karne ya 20: Wapiga deal wanaitumia hii kwa kificho cha Roho Mtakatifu; kwamba wenye roho mtatakifu wananena kwa lugha, wana mamiujiza lukuki, wako karibu zaidi na Mungu na wanafunuliwa mambo! Wakiona wamekwama wanasingizia upande wa pili kwamba ni kwasababu no imani (hujampokea roho kisawasawa)! PENTECOSTALISM = NO USE OF MIND POWER! NI KUFUNULIWA TU! Hii pentecostalism movement ndio inauletea shida ukristo wa leo! Shetani ameitumia concept hii kisawasawa! Manabii wa uongo ni lukuki na wamewasomba wengi wasiotambua kwambo Mungu alitupa brain tuitumie!
 

Hii picha inaeleza mengi ya kanisa la leo.
Watch out guys
hasa haya wanayoyaita ya kiroho ,watu wa mbeya wanayo mengi kweli huko kwao. lakini kila uchao utasikia mtume fulani kakamatwa na ngozi/viungo za albino,huyu hiki ,lusekelo na balimi hahaha by the way kashaanza kuuza ile gongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…