Habari wadau,
kwa siku 10 zilizopita nimekuwa nikijisikia mwili mzito na mara nyingi naskia mapigo ya moyo kama yanashtuka kila mra.Ni kweli nina uzito mkubwa,najitahid kufanya diet na mazoezi kidogo lakin haujapungua.
Je,hii ni dalili ya B.P? Nifanye nini kudhibiti hali hii?
Madaktari nawasikiliza