babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 703
- 491
Hawa ndo mnang'ang'ana kuwapigania wapate ajira....mda wote wanafkria upuuzi kama huu...hawa form four failure taabu sana...wachina wataendelea kutuburuza sana
Madiwani nchini sweden wametaka serikali itoe muda wa saa moja tuu kila mwezi kwa ajili ya kufanya ngono, wakifafanua madiwani hao wamesema kuna wakati watu wanakuwa na stress sana hivyo kufanya ngono inafanya mtu kurefresh mind nakufanya mtu achangamke.
Vipi hili pendekezo lingeletwa kwenu member wa jf forum lingepita au mngeli ignore ?
Alielewa intelligence ni watu waliofaulu darasa la saba!Nami sijaelewa hili limefikaje hapa jukwaani hadi nimechanganyikiwa nipo jukwaa gani, jamii inteligence, jukwaa la siasa au jukwaa la mahusiano na ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alielewa intelligence ni watu waliofaulu darasa la saba!
Huku kwetu haina nafasi hiyo maana watu hawana stress ya ngono hata kidogo.sisi tunangonoka masaa yote
Madiwani nchini sweden wametaka serikali itoe muda wa saa moja tuu kila mwezi kwa ajili ya kufanya ngono, wakifafanua madiwani hao wamesema kuna wakati watu wanakuwa na stress sana hivyo kufanya ngono inafanya mtu kurefresh mind nakufanya mtu achangamke.
Vipi hili pendekezo lingeletwa kwenu member wa jf forum lingepita au mngeli ignore ?
Hahahaha well said! Alafu watu weusi wakionekana hivyo huwa wanatia kichefuchefu naona hii si jadi yetu kabisa! Tuwache ujinga! Rangi yetu ni utukufu wa Mwenye Enzi Mungu, sio ya kukaa uchi! Siyo jadi yetu and it will never be!Hawa ndo mnang'ang'ana kuwapigania wapate ajira....mda wote wanafkria upuuzi kama huu...hawa form four failure taabu sana...wachina wataendelea kutuburuza sana