Sorry i thought wewe ndio chacha mwenyewe. Mkuu i asked if there are scientific Evidences kwasababu we in order to get support from media in western countries we need to these evidence. Hatuwezi tukaapproach for instance BBC na kuwapa info with no evidence.. kuna mashirika mengi tu ambayo will be so interested with this case if we represent this with strong evidence, this includes ngo environmental and sustainable developments groups. SCR has to be based on honest and if barick does follow what they say on their SCR report that is absolute social unaccepted in western communities.
You are very right,
This is very complicated as far as mine waste concerned; Tailing dama world wide hazina madhara kama haya, hata kama seepage inatokea, hapa kuna mambo mawili lazima tuyajadili au kuuliza
1. Hao watu ni ndugu?
2. Wangapi wameathirika na hii issue ni hao wawili tu au wako wengine wengi?
3. Walianza lini kuathirika? imekuwa muda mrefu au muda mfupi tangu walipocontact na hizo chemicals?
Tukipata hizo preliminary answers ni rahisi tukajua chanzo which in this case is very possible kuwa
1. Mama na mtoto walichota maji directly from the tailing dam! hii na hizo athari ni very very possible. Na kama walichota au kutumbukia sio common practise ya watu wengi, iadha walifanya hivyo kwa kuibia au kulikuw ana shida ya maji then they did a simply suicide attempt!
2. Kama kuna seepage kwenye tailing dams, sumu kubwa ni cynide which is volatile, haikai muda mrefu inapotea, maji yanakuwa na chemicals ambazo effect zake ni long term, ndio maana nikauliza swali la kwanza
Kama waliingia directly kwenye tailing pond:
1. Ni makosa ya waathirika, kama na kama tu (if and only if) mgodi ulishawaonya na kutoa elimu juu ya madhara ya maji ya kwenye tailing dams. Hata wale ng'ombe waliokufa ni kuwa walikunywa maji ambayo yako kwenye tailings dam
2. Ni makosa ya waathirika kama walienda kwa lengo la kufikiri 'kuiba' maji ya sumu; ni swa na waathitika wanaoiba mafuta ya transformer!
3.Kama hakuna vibao/signboard inayoonyesha raia hatari ya yale maji
Nchini chile ilitokea kutokana na watu kuwa ignorance walkuwa wanaiba mercury na kuipika kwa lengo la kujiponya na magonjwa, bila kujua kuwa sumu mbaya kabisa, walikuwa wanaiba kwenye malori yanayobeba hizo chemicals
What to do; ndiyo maana manaswali kama haya ni ya msingi, maana yake, kama tatizo ni watu wenyewe na kampuni imefanya/kuchukua measures za kutosha, kitakachoendelea ni kufanya mazungumzo ya amani na kampuni kwa lengo la kuwasaidia wakapate matibabu. Sina hakika ila inawezekana na ninajua hakuna uhusiano mzuri wa makampuni ya madini Mara na rais wanaowazunguka.
Ikiwa speculation hizo hapo juu zote zitaleta majibu kuwa maji yanayovuja kutoka kwenye tailing dams ndizo zilizoleta hizo athari basi that is not tailing dams, that is 'suicidal dam' halifanyi kazi kama tailing dams, na kwa sababu hii measure zinazotakiwa kufanyika ni kubwa kuliko ninachoweza kuandika hapa; Mine should be closed, walipe fidia na kwa sheria za sasa za watoaji fund, they may not operate in any other countries, kwa sababu fedha za fidia zitawafanya waondoke nchini na ndala tu!
But issue is not so simple, najua tuna hasira na kuwaonea huruma, lakini naangalia commpn operation za migodi na kuwaconsult hata wataalamu wengine; A MATTER NEED more investigation; na kwa wakati huu Chacha hajasema kama amekutana na uongozi wa mgodi kujadili hawa watu wapatiwe matibabu wakati issue zingine zinaendelea. kama mgodi umekataa wachukue video, peleka ITV watu wajitolee kuwatolea fedha za matibabu, though we need to go to the hospital first kujua gharama ni shilingi ngapi!
Cynide ambayo ina short term effects na kuwez kusababisha mambo kama hayo ni volatile kama nilivyosema, still kuwa seepage kutoka kwenye haya mabwawa yanakuwa na chemicals zingine kama lead, arsenic, etc. ( I mean chemicals zote kwenye periodic table!!) However, these chemicals are not harmful kama zitaingia mwilini kwa level ile inayotakiwa, maana zipo kila siku kwenye vyakula vyetu
Hizi chemicals zinapozidi kiwango kinachotakiwa then zinasababusha makansa, this also should be investigated katika hizo seepage zinazoendelea