dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Daah sawa mkuu.Binafsi niseme sioni shida, ujue binadamu tumejawa na ubinafsi wa aina yake, haturuhusu mtu kuwa huru na furaha eti kwaajili ya maslahi yetu, aisee mimi huo utumwa siwezi , namuacha mtu awe huru , awe na furaha, akutane na anaye mpa furaha.
Jana yetu imebeba furaha yetu kwa kiasi kikubwa , mtu kuikumbuka jana yake kwa ajili ya kufurahi mimi ni mzuiye eti kwa sababu ya wivu wangu hapana aisee.
Unaingia kwenye eneo hatarishi sana. Bora msikutane msije ponzana.Wakuu, haya maisha yanafunzo.
Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake!
Mtoto aliniachia mawasiliano kumhusu yalibakia kati yake na Mama yangu na alivyofika darasa la 6 nikampeleka Boarding.
Nikaoa, sikujua habari zake tena.
Leo nikakutana na ka diary mahali, nikafungua kujua kinahusu nini, ni cha binti yangu! na nilipofungua macho yangu yalikutana moja kwa moja na namba ya Mama yake.
Sijaonana naye almost 12years now!
Nikapata msukumo kutoka ndani yangu kujaribu kumpigia, as ilikuwa mchana nikajua atakuwa katika mazingira ya kazi.
Nilivyopiga ile namba haikupokelewa, na baada ya dakika kama 10 ikanipigia.
Nilimsalimia tu akanitambua! Alizungumza na mimi kwa heshima sana na kwa sauti ya upole.
Nikatamani kujua status yake, ameshaolewa with two kids.
Yeye anajua kuhusu mimi via my daughter wanawasiliana.
Basi tukapongezana pale na kuagana.
Nimejisikia vizuri mno, nimeona hii ni platform yakushare ninavyojisikia
Natamani sana kumwona tena!
Muhusika anaweza kuona pia, natamani ajue
Sijui nafanyaje hapa wadau...
Nimejikuta napenda sana hii story yako uliyo share na sisi hapa.Wakuu, haya maisha yanafunzo.

ππππ Mkuu kumbe bado upogo..?Mtakulana..ni suala la muda.
Ulijua nimeenda wapi?ππππ Mkuu kumbe bado upogo..?
Na mkeo akimtafuta X wake?Wakuu, haya maisha yanafunzo.
Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake!
Mtoto aliniachia mawasiliano kumhusu yalibakia kati yake na Mama yangu na alivyofika darasa la 6 nikampeleka Boarding.
Nikaoa, sikujua habari zake tena.
Leo nikakutana na ka diary mahali, nikafungua kujua kinahusu nini, ni cha binti yangu! na nilipofungua macho yangu yalikutana moja kwa moja na namba ya Mama yake.
Sijaonana naye almost 12years now!
Nikapata msukumo kutoka ndani yangu kujaribu kumpigia, as ilikuwa mchana nikajua atakuwa katika mazingira ya kazi.
Nilivyopiga ile namba haikupokelewa, na baada ya dakika kama 10 ikanipigia.
Nilimsalimia tu akanitambua! Alizungumza na mimi kwa heshima sana na kwa sauti ya upole.
Nikatamani kujua status yake, ameshaolewa with two kids.
Yeye anajua kuhusu mimi via my daughter wanawasiliana.
Basi tukapongezana pale na kuagana.
Nimejisikia vizuri mno, nimeona hii ni platform yakushare ninavyojisikia
Natamani sana kumwona tena!
Muhusika anaweza kuona pia, natamani ajue
Sijui nafanyaje hapa wadau...
Huyo mama ataliwa no wayWatu mna roho kubwaπ€π€.. Maanake hapo unataka kutengeneza mazingira ya kupasha kiporoπ₯
Ile RIP ya Demi labdaUlijua nimeenda wapi?
kiporo hakiitaj moto mwingiiWatu mna roho kubwaπ€π€.. Maanake hapo unataka kutengeneza mazingira ya kupasha kiporoπ₯
Kuna uzi kule.... Wa tanziaUlijua nimeenda wapi?
Ndio mkuu kama ulikuwepoIle RIP ya Demi labda
ShindwaaaaKuna uzi kule.... Wa tanzia
Wee jamaa jau sana ππππkiporo hakiitaj moto mwingii
Sio mimi sasa mkuu ππππShindwaaaa
NimefufukaIle RIP ya Demi labda