HamnaBinadamu tumeingilia natural habitats za wanyama na passing corridors zao waki migrate kutafuta chakula na maji.
Unfortunately wanyama wanaumia zaidi kutokana na sisi kuwaingilia mwenye makazi yao ya asili ya vizazi kwa vizazi.
Tunahitaji kuwa na strategies nzuri ili tuweze ku coexist.
Asante Muhifadhi na ukame huu tutarajie MATUKIO YA KUSHANGAZA kwa Myama TEMBOBinadamu tumeingilia natural habitats za wanyama na passing corridors zao waki migrate kutafuta chakula na maji.
Unfortunately wanyama wanaumia zaidi kutokana na sisi kuwaingilia mwenye makazi yao ya asili ya vizazi kwa vizazi.
Tunahitaji kuwa na strategies nzuri ili tuweze ku coexist.
Mkuu Same kuna mapito ya wanyama toka wapi?Binadamu tumeingilia natural habitats za wanyama na passing corridors zao waki migrate kutafuta chakula na maji.
Unfortunately wanyama wanaumia zaidi kutokana na sisi kuwaingilia mwenye makazi yao ya asili ya vizazi kwa vizazi.
Tunahitaji kuwa na strategies nzuri ili tuweze ku coexist.
Majuzi nimemsikia waziri akisema, hao wanaolalamikia tembo, tembo, nao ni majangiri tu! Ina maana huko kwenye makazi yao, swala na wanyama wengine wadogo wadogo huwa hawawatembelei? Akimaanisha hao wanyama wadogo wanawaua, na kuwafanya vitoeo!Hamna
Viongozi vilaza basi
Kutoka mkomazi kuelekea manyara...Mbuga ya mkomazi na mbuga ya manyara ziko karibu sana ....na same ndo path way yao hasa wakat wa kiangazi ..Mm nimezaliwa same so nna experience ya hv vituMkuu Same kuna mapito ya wanyama toka wapi?
Taveta?
Mkomazi?
Kuelekea wapi?
Umewahi kuona simba, twiga, swala au tembo Same, Mwanga au Hedaru?
Umewahi kuona twiga au tembo hapo?Kutoka mkomazi kuelekea manyara...Mbuga ya mkomazi na mbuga ya manyara ziko karibu sana ....na same ndo path way yao hasa wakat wa kiangazi ..Mm nimezaliwa same so nna experience ya hv vitu
Wanyama km Fisi ,swala ,digi digi ...nyoka aina zote hadi wakubwa .km Chatu walikua wanakuja mpaka mtaani