Inatia moyo sana kama wewe ni mhusika kwenye swala hili. Tembo wanaua watu na wanamaliza mazao ya watu hata bila fidia. Hivi prioriy katika hili jambo ni nini, nani ana prioity ya kuishi kati ya tembo na binadamu? Siku mimi nikiwa na mamlaka, binadamu mmoja anauawa na tembo, tembo wote hawatakuwepo tena eneo hilo milele, nitajua nini cha kufanya, sitaki kukisema kwa sasaAsante kwa taarifa.
Atakaekupinga wewe tunampima mkojowachinjwe tule nyama.
Pembe wapeleke china
ukiongea na wazee wa kipare sababu yawao kukaa milimini ni pamoja na tembo, zamani kulikua na tembo wengi sana ikapelekea wao kwenda milimaniMkuu Same kuna mapito ya wanyama toka wapi?
Taveta?
Mkomazi?
Kuelekea wapi?
Umewahi kuona simba, twiga, swala au tembo Same, Mwanga au Hedaru?
Kinana atarudi kwenye system tena afanye yake[emoji1]Hii ni habari njema kwetu sisi watunza mazingira pamoja na uhifadhi wa wanyama pori!!!
Maana yake UJANGIRI UMETOWEKA hivyo kusababisha wanyama kuzaliana kwa wingi na kuongezeka
NB: KINANA SHIKAMOO
Wanatokea hifadhi ya mkomazi Grannie's zangu wamepakana na mpk wa hifadhi hiyo mida yeyote tu jiandae kukimbia maana wakitoka huko wakikukanyaga habari yako inaishia hapo.Habari wana JF wenzangu,
Ni miaka mingi nimekuwa mtumiaji wa barabara ya kuelekea Mikoa ya kaskazini mwa nchi yetu yaani Kilimanjaro na Arusha bila kuona wanyama wowote wakali kama simba au tembo.
Lakini jambo la kushangaza, hivi karibuni yameibuka makundi makubwa sana ya Tembo wengi sana wakiwa wamezunguka makazi ya watu kilomita sio chache kama 3 hadi 5 kutoka Same Mjini.
Hili ni jambo la hatari sana kwa wakazi wa Same na watumia barabara hii ya kazini hasa nyakati za usiku kwani madereva wengi hawajazoea hivyo huwa wanatembea kwa spidi bila tahadhari.
Kwa hatari hii nashauri waziri wa maliasili na utali achukue tahadhari ili kulinda maisha ya wakazi wa Same na watumia barabara hii ya kaskazini mwa nchi.
Uko sahihi.Wanatokea hifadhi ya mkomazi Grannie's zangu wamepakana na mpk wa hifadhi hiyo mida yeyote tu jiandae kukimbia maana wakitoka huko wakikukanyaga habari yako inaishia hapo.
Wanunue drones. Drones ni kiboko ya tembo, ndege na wanyama wote waharibifu.Wanatokea hifadhi ya mkomazi Grannie's zangu wamepakana na mpk wa hifadhi hiyo mida yeyote tu jiandae kukimbia maana wakitoka huko wakikukanyaga habari yako inaishia hapo.
Wanaona ni kitu cha hatariKwanini wanaogopa drones mkuu