HATARI SANA*

mbwana semsimbazi

Senior Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
196
Reaction score
202
Pale unapomlipia mwanao karo ya shule ya mwaka kwa M-PESA ya Tsh 15,000,000 na kuletewa majibu haya
Ahsante kwa kujiunga na kifurushi cha voda-voda umepata dakika 350,000 /sms 750,000 na GB 400,000 TUMIA NDANI YA MASAA 24 TU
kwa OFA zaidi endelea kutumia voda - VODACOM KAZI NI KWAKO

[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Kama nakuona vile mtendewa....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ahahah niliwahi kuagiza dogo akaniwekee m pesa sh 10000 yule mwenye duka hawakuelewana vizuri akaniungia kifurushi sijui kilikua cha mwezi kile? yaani nilitaman nichape mtu

sasa fikiria hilo salio lote...
 
Halafu na mtandao unaanza kusumbua mwisho wa siku hujaambulia chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…