Hatari UDOM: Mtoto mchanga aokotwa kwenye dustbin

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
283
wakuu
wanawake kweli ni hatari!
leo asubuhi wafanya usafi wamekiokota kichanga ndani ya dustbin. tukio limetokea block L....

kweli msomi huyu ataweza kutufikisha sisi vijijn tukawa na elimu bora, afya bora, n.k.

maswali!
tatizo ni nn hadi akatupa?

baba mweka mimba alikuwa hajuwi?

wazazi wake je?

wabachuo wenzake, walez chuoni hawakujua?

hebu tuchangiane maarifa,
mm

PJ,
MAKONDE PRESIDENT
MTWARA
 
mh huyo mwanamke mtata kweli, kalikuwa bado hai ?

hapo akiulizwa ataanza nataka kufanya diet tumbo langu lilikuwa kubwa kwa saababu ya bia na nyama choma.... baadhi ya wanawake wanavitambi sasa uwezi jua ni tumbo la ulafi au ni mimba... aisee hii si sawa..,.. huyo dada akufanya sawa ...
 
Wakiamua kufuatilia ni rahisi kumkamata! sijui sheria zikoje pale..
 
Mapenzi na shule ni mlenda na pilau, enyi mnaojiita warembo vyuoni acheni zinaa.
 
Yan blok L hapo zimejaa abortions kibao toka nikiwa hapo, Enheeeeee Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema tusamehe waja wako!
 
Nchi kama ujerumani kuna sehemu ya kwenda kuweka mtoto kama humtaki...inaitwa BABYBOX...huhitaji kujulikana identitiy yako wala sababu kwanini..Umezaa mtoto humtaki unaenda kumuweka hapo ila una haki ya kujutia kurudi kumfata..System hii ni nzuri sana haswa kwa nchi kama tanzania ambapo hata sijui watoto wangapi wanatupwa kwenye majalala yearly..Mifano mingine ni ya kuigwa na tujaribu kuepuka ngono zembe!!!
 
c m2mie condomu? wakati unakatika unaona utamu na kumcfia mpenzio. mimba unaona haramu. na kwa taarfa yake mtoto atakosa na atadisco kinoma na hakoo kadegree hapati
 
unyama! Hivi mpk unaenda kwa jamaa yako unakuwa hujui matoke ya mnachokifanya au? ------- zenu
 
tamaa ndo imetufikisha kwenye hali Hii ya kutupa watoto wachanga! kagongwa na jamaa wote hwataki Majukumu ya kulea kichanga hicho! Walaaniwe wawili hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…