Hatari udom, ya mtwara wiki hii

Hatari udom, ya mtwara wiki hii

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
220
Reaction score
38
Kwa kuonesha wanafunzi wa UDOM kuchoshwa na propaganda za Mkopo kuna mpango wa kufanya uharibifu mkubwa mji wa Dodoma.
Moja ya wanafunzi wanaoratibu Mpango huo amesema watavamia ofsi zote za serikali Dodoma ili kusikilizwa. Amesema kama Mtwara wameweza kwa petroli wao watashindwa nini?
Mpango huo umesukwa na wanafunzi wa vitivyo vyote ukiratibiwa na baadhi ya wanaharakati.
Hata hivyo rais wa kitivo kimoja alipoulizwa amesema ni idadi kubwa hawajapewa fedha zao ijabo ni Loan beneficials.
 
Mkichoma then mtalala wapi, si mwende TIRDO mkochome? Kwani mkopo mlikubaliana na chuo au bodi?
 
Someni kwa bidii na mvumilie!
 
ni fashion siku hizi kujichukulia sheria mkononi!sijui kama kwa stail hii itatutoa au ndo safari ya kupotea!
 
kaichomeni bodi siyo chuo,na mkome kuendelea kuwa makondoo ya nyinyiem
 
Mnatania nyie!hiki si ndio chuo cha mkuu wa kaya,iweje mfe njaa jama?
 
Mbona mnashinda masterpub,freepoint na younique pub mnakula vyombo!
 
Kwa kuonesha wanafunzi wa UDOM kuchoshwa na propaganda za Mkopo kuna mpango wa kufanya uharibifu mkubwa mji wa Dodoma.
Moja ya wanafunzi wanaoratibu Mpango huo amesema watavamia ofsi zote za serikali Dodoma ili kusikilizwa. Amesema kama Mtwara wameweza kwa petroli wao watashindwa nini?
Mpango huo umesukwa na wanafunzi wa vitivyo vyote ukiratibiwa na baadhi ya wanaharakati.
Hata hivyo rais wa kitivo kimoja alipoulizwa amesema ni idadi kubwa hawajapewa fedha zao ijabo ni Loan beneficials.
Wekeni sababu kwa nini hamjapata fedha zenu siyo kuanza spirit ya migomo, Jua kuwa Vyuo Vikuu vya Umma Mkuu wa kaya alisha toa ok anayeratibu migomo ana be filtrated. M4C ktk UNIVERSITIES SIYO MKOMBOZI.
 
Unaota hakuna mgomo hapa labda wagome hao walio panga mgomo wao,mm nimekuja peke yangu nikifukuzwa pia narudi mwenyewe na kupiga miayo na wazazi wangu.
 
Achen uoga nyie na kufanya fujo n ujinga sawa na Luddism, fanyen ka tulivyofanya mwaka jana march mfaten Kikula na mlacha au board pale roundabout shell lasihivyo hta wajasi watawachoka na ukiona manyoyaaa...........,!
 
Kwa kuonesha wanafunzi wa UDOM kuchoshwa na propaganda za Mkopo kuna mpango wa kufanya uharibifu mkubwa mji wa Dodoma.
Moja ya wanafunzi wanaoratibu Mpango huo amesema watavamia ofsi zote za serikali Dodoma ili kusikilizwa. Amesema kama Mtwara wameweza kwa petroli wao watashindwa nini?
Mpango huo umesukwa na wanafunzi wa vitivyo vyote ukiratibiwa na baadhi ya wanaharakati.
Hata hivyo rais wa kitivo kimoja alipoulizwa amesema ni idadi kubwa hawajapewa fedha zao ijabo ni Loan beneficials.

Mkuu ccm juu.!!!!, na watendaji wa serikali juu zaidi
 
Tumieni elimu yenu na chombo chenu cha UDOSO vizuri enyi wana wa nchi hii ili muweze kupata muafaka wa tatizo lenu. Kugoma ni haki yenu kwa lengo la kusikilizwa. lakini mkianza kufikiria kuchoma ofisi za serikali, majumba ya watu au kuharibu miundombinu ya chuo ikiwa ni pamoja na majengo mtakuwa mnafanya makosa makubwa sana kwa sababu KUFANYA UHARIBU HAIJAWAHI KUWA LENGO LA MIGOMO. Mkifanya hivyo mtapotea kabisa na hata lengo lenu halitafanikiwa vizuri. Ni haki yenu kudai kusikilizwa kwa kutumia migomo lakini SHARTI IWE KWA NJIA YA AMANI na wala pasiwepo uharibifu wowote wa mali za watu na umma. Huo ndo ushauri wangu kwenu.
 
Me nilijua ule mchango ni Investment mlifanya kwa mkuu, kumbe ni exploitation ilifanywa kwa wanafunzi.

Someni wadogo zangu, Tuko mtaani na degree zetu
 
Nyie udom bora mwendelee kufa njaa coz ndo nyie mliochangisha pesa kumpa jk na ccm yake au mmesahau,
 
Muwaoneeni huruma na kuwashauri wasifanye vurugu
lkn ukweli wananyanyasika sana
kwa7bu kuna kipind walikuwa wanagoma sana na maandamano mara kwa mara
kuna mgomo ulfanya chuo kifungwe sasa
sasa wakat wa kurud wakategeshewa fomu ambayo ilikuwa na makubalino na stdnt kuwa akigoma tu atakuwa kajifukuzisha chuo mwenyewe!!

Na ndio maana kwa mda wamekua kimya wameweka silent midomo yao wanalia ndan kwa ndan!!
Na ndio maana manawcheweleshea saa ingine kwa makusudi wakiamini kuwa wanafunzi hawawez kufanya lolote!!
 
bado kufanya uharibifu sio kutatua matatizo pia bado hamjajikomboa hizo zilfanya na wafanyakaz wa viwanda miaka ya 1800s sasa mnawaza kufanya leo 2012 hiyo interval inaonesha ukondoo mlio nao.shame on you.
 
Tena mnasomeshwa kwa mkopo mnataka choma ofisi tena makao makuu ya nchi.
Jaribu uone utajuta maisha yako hakika hutasoma na utarudi mtaaaniiiii ujue life lilivyo gumu
 
Back
Top Bottom