Hatari! Video mpya ya Diamond- My Number One

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
4,200
Reaction score
1,990
Nimeiangalia video mpya ya Diamond. Kusema kweli pamoja na kashfa mbalimbali zinazomuandama huyu kijana,kwenye game anakaza. Ni video fupi lakini yenye quality na message. Ingawa umri wake si mkubwa lakini nashauri wasanii wengi hata wakubwa wajaribu kupata ushauri toka kwake ni jinsi gani anafanikiwa kisanaa na kimaisha. Si mpenzi sana wa bongoflavour lakini pale msanii akitoa kitu kizuri huwa nashindwa jizuia kumsifia na kumtia moyo.
 
kajitahidi namuona mbali sana
 
jamaa atafika mbali sana,watanzania hatujazoea video za kwenye meli ila mwamba kathubutu,naamini hata adamu juma yupo mbioni kutafuta scene za kwenye meli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo bwana, hivyo video ina uzuri gani sasa. Huyo dogo anapewa kiki kutokana skendo za ngono na hatofika popote tutamsahau kama mr. Nice. Kwa staili yake 2015 tu tatakuwa tushamsahau.

Sisi wataalamu hii kitu tunaita Time Travel, tukutane 2015. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom