kajitahidi namuona mbali sanaNimeiangalia video mpya ya Diamond. Kusema kweli pamoja na kashfa mbalimbali zinazomuandama huyu kijana,kwenye game anakaza. Ni video fupi lakini yenye quality na message. Ingawa umri wake si mkubwa lakini nashauri wasanii wengi hata wakubwa wajaribu kupata ushauri toka kwake ni jinsi gani anafanikiwa kisanaa na kimaisha. Si mpenzi sana wa bongoflavour lakini pale msanii akitoa kitu kizuri huwa nashindwa jizuia kumsifia na kumtia moyo.
Uko serious mkuu!! Post ya mwaka 2013 umenipa hata uvivu wa kugonga like yako hapokajitahidi namuona mbali sana
kwa hiyo mkuu umeshindwa kabisa kugonga like?Uko serious mkuu!! Post ya mwaka 2013 umenipa hata uvivu wa kugonga like yako hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa atafika mbali sana,watanzania hatujazoea video za kwenye meli ila mwamba kathubutu,naamini hata adamu juma yupo mbioni kutafuta scene za kwenye meliNimeiangalia video mpya ya Diamond. Kusema kweli pamoja na kashfa mbalimbali zinazomuandama huyu kijana,kwenye game anakaza. Ni video fupi lakini yenye quality na message. Ingawa umri wake si mkubwa lakini nashauri wasanii wengi hata wakubwa wajaribu kupata ushauri toka kwake ni jinsi gani anafanikiwa kisanaa na kimaisha. Si mpenzi sana wa bongoflavour lakini pale msanii akitoa kitu kizuri huwa nashindwa jizuia kumsifia na kumtia moyo.
Dogo anaonekana yuko serious.Ngoma kali.. Ali Kiba asijisahau dogo anakuja kwa kasi.
Wabongo bwana, hivyo video ina uzuri gani sasa. Huyo dogo anapewa kiki kutokana skendo za ngono na hatofika popote tutamsahau kama mr. Nice. Kwa staili yake 2015 tu tatakuwa tushamsahau.
Sisi wataalamu hii kitu tunaita Time Travel, tukutane 2015. [emoji3][emoji3][emoji3]
mkuu labda CLOUDS wasipige ngoma zake2015 mbali sana mwakani tu hapo july 2014 tutakuwa tunazungumza mengine