HATARI: Viongozi wa Simba ongezeni ulinzi kwa Wachezaji

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Haswa team inapoenda mikoani wanaposhuka kwenye basi au kama ile walivyopokelewa Airport wakitoka Kinshasa Manula akanusurika kuibiwa simu.

Kumbukeni kuna kipindi Rwanda watu walikuwa wanogopa kusalimiana mtu anaweka kipini kidogo anabana na super glue kina sumu anakusalimia anakuchoma nacho.

Uko wapi ule utaratibu wachezaji wakishuka kwenye basi wanajipanga wanasimba wanaweka ukuta wa watu left and right? Narudia tena kuanzia leo as long as mnataka mfike nusu fainali ulinzi wa wachezji uwe priority tuliyoyaona kwenye mechi ya JKT ni rasharasha watakuja kupigwa hata sindano ya sumu na watu watakaojifanya wanawakumbatia n a kuwashikashika
 
Sawa tutawapa ulinzi
Najua hiyo kauli inatumiaka kama utani ila issue ni serious mwenye macho kaona leo jkt walikuwa wanataka nini kwa wachezaji,mazoea yaishe sasa POPOETE WANAPOSHUKA MATAWI YA SIMBA YATENGENEZE UKUTA WA WATU WACHEZAJI WAPITE KATIKATI KWA USALAMA WAO.
 
najua hiyo kauli inatumiaka kama utani ila issue ni serious mwenye macho kaona leo jkt walikuwa wanataka nini kwa wachezaji,mazoea yaishe sasa POPOETE WANAPOSHUKA MATAWI YA SIMBA YATENGENEZE UKUTA WA WATU WACHEZAJI WAPITE KATIKATI KWA USALAMA WAO
🙏 🙏 🙏 🙏 ❣️
 
Mkuu kimetokea nini leo? Wengine huku ndio kuna kucha.
 
Mkuu kimetokea nini leo? wengine huku ndio kuna kucha
JKT tanzania walikuja na mission ya kuvunjavunja wachezaji wa simba makusudi wakijua kuna mechi muhimu tarehe 6 sudani na tarehe 17 dsm ambazo zitaamua hatma ya simba kuingia robo fainali,walifanikiwa kumzimisha manula kakimbizwa hospitali,kakolanya naye kala kiwiko cha hatari,mugalu,lui hadi ikabidi kocha amtoe ,wajuba wamepiga rafu 22 zilizoonwa na mwamuzi ambazo ni rekodi ya ligi tayari
simba wanaweza kuwa wamejipanga sana sehemu nyingine zote ila sasa mazoea ya kukumbatia na kushikashika wachezaji yaishe kwa sasa,simba imekuwa kubwa mnoo kuna watu hawana namna nyingine ya kuizuia
 
Yaani wewe unaonekana unaiabudu Simba (mahaba) ya kupitiliza mno. Na ndio maana timu ya mpira wa miguu imekuwa Kama sehemu ya maisha yako. Mara CEO apewe ulinzi mara wachezaji wapewe ulinzi. Mara wachezaji wasikumbatiane wala kushikana mikono. Sasa hii Simba inatoka sayari gani ya tofauti kiasi kwamba wasakwe na kuandamwa kiasi hiko? Ulikuwa haujui kama timu zinqzoongoza kwa kucheza rafu katika ligi kuu basi ni hizi timu za majeshi na polisi. Wanamichezo ya mabavu sana rafu rafu kila mara haijalishi wanacheza na nani.
Barcelona ilikuwa bora sana duniani lakini hakujawahi fikiwa hatua ya wachezaji kutotoa salamu ya mkono kisa tu kuhofia usalama wao. Ac Milan, Bayern Munich, Liverpool, n.k wote hizo zimewahi kuwa klabu bingwa wa dunia hawakulindwa wachezaji.

Mfano Labda Kama unazungumzia wahasimu (watani) wa Simba ndio wawe ni miongoni mwa wanaofanya hiyo mikqkati kisa tu mafanikio ya Simba kuwa juu, nikuulize swali je Simba haikuwahi kupata mafanikio kama haya au zaidi ya haya mbele ya wahasimu wao? Je waliwekewa ulinzi ili wasiweke sumu?

Mpira ni mchezo tu wa burudani, ajira, na ujamaa (fair play) mahaba yasiyageuze kama mpira ni uadui au vita
 
ulinzi ni muhimu sana hali ni tete mnoooo, ulinzi tafadhali ABASS GAZA, KUANZIA LEO WACHEZAJI WASIKUMBATIWE ,TENGENEZENI WALL YA WATU KUSHOTO NA KULIA
 
Umeongea point sana Mazoea yasisizidi Watu wana Husda watu wako radhi kufanya chochote ili tu kukwamisha safari ya mafanikio ya mtu au watu flan..ULINZI Ni muhim sanaaa ata nchi za wenzetu amna mambo ya kukumbatiana ovyo

lakini pia nasisi mashabiki tuongezewe ulinzi ckuiz ukikutana na shakibi wa Uto ukimtania anavimba kama andazi la mia 5 la mama Asha wa Kawe
 
HUO NDIYO UKWELI NDUGU I HOPE KINA ABASS AGAZA WATACHUKULIA SERIOUS KUANZIA LEO
 
Yaani wewe unaonekana unaiabudu Simba (mahaba) ya kupitiliza mno. Na ndio maana timu ya mpira wa miguu imekuwa Kama sehemu ya maisha yako. Mara CEO apewe ulinzi mara wachezaji wapewe ulinzi. Mara wachezaji wasikumbatiane wala kushikana mikono. Sasa hii Simba inatoka sayari gani ya tofauti kiasi kwamba wasakwe na kuandamwa kiasi hiko? Ulikuwa haujui kama timu zinqzoongoza kwa kucheza rafu katika ligi kuu basi ni hizi timu za majeshi na polisi. Wanamichezo ya mabavu sana rafu rafu kila mara haijalishi wanacheza na nani.
Barcelona ilikuwa bora sana duniani lakini hakujawahi fikiwa hatua ya wachezaji kutotoa salamu ya mkono kisa tu kuhofia usalama wao. Ac Milan, Bayern Munich, Liverpool, n.k wote hizo zimewahi kuwa klabu bingwa wa dunia hawakulindwa wachezaji.

Mfano Labda Kama unazungumzia wahasimu (watani) wa Simba ndio wawe ni miongoni mwa wanaofanya hiyo mikqkati kisa tu mafanikio ya Simba kuwa juu, nikuulize swali je Simba haikuwahi kupata mafanikio kama haya au zaidi ya haya mbele ya wahasimu wao? Je waliwekewa ulinzi ili wasiweke sumu?

Mpira ni mchezo tu wa burudani, ajira, na ujamaa (fair play) mahaba yasiyageuze kama mpira ni uadui au vita
Mkuu umeandika sahihi sana ila rejea andiko lako umejipiga mitama sana mpaka haieleweki uko upande upi.
 
Naheshimu mawazo yako mkuu lakini napenda kuuliza hivi kwa simba yetu hii tuiwekee huo ulinzi unaosema. vipi kwa al ahly wao wafanyaje timu zao ?
 
ULISHAWAHI kuona wachezaji wakirukiwa na washabiki wakiwa wanashuka kwenye gari?uandhani ile ni sawa?
wakati wanatoka congo kibaka kapora simu ya manula akawahi kuidaka jamaa kachoropoka sasa hadi imefikia hatua hiyo unaona ni sawa>?
ni mara moja tu niliona kule musoma last year walitengeneza ukuta wanachama kushoto na kulia wachezaji wakapita katikati hiyo ndiyo ninayosemea..kuhusu swali lako basi kuna siku utaniuliza diamond ulinzi wa nini Chris brown asemaje>?au magufuli ulinzi wa nini Joe bidden asemaje?
 
Haswa team inapoenda mikoani wanaposhuka kwenye basi au kama ile walivyopokelewa Airport wakitoka Kinshasa Manula akanusurika kuibiwa simu.

Kumbukeni kuna kipindi Rwanda watu walikuwa wanogopa kusalimiana mtu anaweka kipini kidogo anabana na super glue kina sumu anakusalimia anakuchoma nacho.

Uko wapi ule utaratibu wachezaji wakishuka kwenye basi wanajipanga wanasimba wanaweka ukuta wa watu left and right? Narudia tena kuanzia leo as long as mnataka mfike nusu fainali ulinzi wa wachezji uwe priority tuliyoyaona kwenye mechi ya JKT ni rasharasha watakuja kupigwa hata sindano ya sumu na watu watakaojifanya wanawakumbatia n a kuwashikashika
Naunga mkono hoja, Utopolo baada ya kuona kuwa mpira umewakataa hivi sasa wanafanya mikakati ya kuihujumu Simba nje ya uwanja na njia kuu itakuwa kuwadhuru wachezaji wetu ili kupunguza nguvu ya Simba,hawa wenzetu wamevuka kwenye viwango vya ubinadamu sasa wamekuwa mahayawani wa mwituni.
FB_IMG_1613047921564.jpg
 
Back
Top Bottom