Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 14,241 Reaction score 40,752 Jun 16, 2020 #21 Pascal Mayalla said: Hakuna hatari, kwa Tanzania, Corona ni kama imeisha. P Click to expand... Mkuu msimamo wako kuhusu huu uzi ni upi ?π Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli
Pascal Mayalla said: Hakuna hatari, kwa Tanzania, Corona ni kama imeisha. P Click to expand... Mkuu msimamo wako kuhusu huu uzi ni upi ?π Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 14,241 Reaction score 40,752 Jun 16, 2020 #22 Kuna uwezekano pale ambapo mheshimiwa yupo corona hukimbia, haiwezi kumsogelea. Ndio maana havai barakoa na hata ule umati unaokusanyika kupata hotuba zake hawavai barakoa.
Kuna uwezekano pale ambapo mheshimiwa yupo corona hukimbia, haiwezi kumsogelea. Ndio maana havai barakoa na hata ule umati unaokusanyika kupata hotuba zake hawavai barakoa.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,582 Reaction score 123,152 Jun 16, 2020 #23 Aisee!