Hatari ya kutafuta mchumba online

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412

wana Jf tuwe makini na Kina Maria Roza
 
Uzuri wa mwanamke sio sura wala umbo ni tabia na uzuri wa mwanaume ni pesa mkuu
 
mbona sioni tatizo lolote kwa mdada huyu, au macho yangu???

 
Hiyo Sasa ndo maana ya mwana kulitafuta mwana kulipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…