Hatari ya matumizi mabaya ya mtandao wa majitaka

Wizara ya Maji

Govt Institution
Joined
Oct 2, 2024
Posts
34
Reaction score
20
Mtandao wa majitaka unapotumiwa vibaya ni kero katika jamii, na chanzo cha magonjwa mbalimbali ambayo matibabu yake ni gharama.

Matumizi sahihi ya mtandao huo ni moja ya ustaarabu katika jamii, na huepusha usumbufu kwa watumiaji na wadau wengine, pia mazingira

Your browser is not able to display this video.
 
well done wizara ya maji kwa rai hiyo mujarabu sana kwa umma.

ni faraja kumbe mpo humu 🐒
 
Oya unawekaje video kinyonge ivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…