๐—›๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ฒ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—›๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ฒ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ




Sehemu yoyote unayoishi ndo sehemu pa kwanza panapaswa kuwa Salama zaidi kuliko mahali pengine popote, ndo maana ukipita maeneo mbalimbali utakutana na watu wameweka mpaka walinzi kwa ajili ya masuala ya Usalama.



Tunatoa nguvu kubwa sana kujilinda dhidi ya Wezi, majambazi na Wanyama lakini tunasahau Kuna hatari ambayo Kila siku tunaishi nayo na kuitumia kwenye maisha Yetu.



Mtungi wa Gesi ni moja wapo ya Teknolojia iliyokuja kusaidia sana watu kuweza kupika kitu kwa haraka na kwa muda mfupi ni nishati nzuri sana kuliko nishati ya kuni na Mkaa.

Najua watu wengi wa masuala ya mazingira wanawaambia watu wengi kutumia hii kuliko Mkaa kwani matumizi yake yanaokoa athari ya ukataji miti. Lakini kuweka mtungi wa gesi ndani ya nyumba yako ni sawa na kuliweka bomu ndani ๐Ÿš€ linalongoja kulipuka.



Matumizi ya gesi yameongezeka ndani ya mwaka 2024 / 2025 kwa bara la Afrika kuliko miaka ya nyuma pamoja na Gesi kuwa nzuri lakini ni HATARI kama ujazingitia usalama wake. Gesi tunazotumia kupikia zinaweza kuwa za aina tatu kama vile;
๐Ÿ•ฏ๏ธ gesi asilia (Natural Gas)
๐Ÿ•ฏ๏ธ mitungi ya Gesi (liquid petroleum Gas) โ›ฝ
๐Ÿ•ฏ๏ธ Gesi inayotokana na kinyesi (Biogas) ๐Ÿ„๐Ÿฎ ila Gesi zinatabia ya kushika moto kwa haraka mfano Gesi aina ya butane inashika moto kwa Haraka zaidi.

๐Ÿš€ Gesi hutoa kaboni yenye sumu ambayo inashika moto kwa haraka, kitendo chochote Cha Gesi kuwaka moto kwa haraka haipatikani nafasi tena ya dharura kuokoka kwani ufanyika kwa haraka na Kasi kubwa kama bomu na kuleta madhara kwa haraka sana.

๐—›๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ฒ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ


๐Ÿ”ฅ Kwa usalama zaidi, mtungi wako wa gesi ya kupikia uweke nje ya nyumba na tumia mpira wa gesi kupeleka gesi kwenye jiko lenyewe la kupikia.

Watalaam wanasema usitingishe mtungi wa gesi kutambua kama gesi imeisha ama bado, tumia kitambaa kiweke maji kisha paka kwenye huo mtungi kwa pembeni na utaona kiasi kilichobaki.
 
Unalala na mtungi gheto iko siku utakupa lift kwenda sayari ya Mars
 
Sasa hivi wanazigawa kama njugu kwa wapiga kura na kumuungisha rostam, sijui kama wana akili ya kufundisha na matumizi including utunzaji salama huko vijijini. Isijetokea disaster tu, kwa kufocus channel moja tu ya akili kuelekea kwenye kura!
 
Sawa, wewe unatushaurije?? Tuache kufumia gas?
 
Huku uswazi, mtu nimepanga chumba kimoja, unaniambia niweke mtungi wa gas nje kweli?
 
Yani maelezo yako yanalenga kuleta tu utisho kwa watu ila kiuhalisia gesi sio hatari namna hiyo labda uwe mpumbavu
Ausio kwaiyo Gesi ni matako tu wala ๐Ÿคฃ acha ngebe Gesi sio kitu Cha mchezo mchezo sio Cha kucheza nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ