Hatau za kuweza kufanya Malipo, manunuzi mtandaoni

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
724
Reaction score
554
Habar zenu wana JF, naomba kujuzwa kuhusu hatua za kuptia ili kufanya au kupata malipo, mfano ya google thru YouTube na social networks nyingine.... Pia kufanya manunuzi mtandaoni mfano alibaba.......


Tafadhali wajanja wa mambo hayo nisaidieni..... Asanten
 
Kuhusu kufanya manunuzi na malipo, sasa ni simple tu kwani kwa kupitia mtandao wa Vodacom wamerahisisha maisha kupitia 'product' yao ya M-Mastercard inayokuwezesha kununua maudhui au bidhaa kupitia mtandao bonyeza *150*00# sasa kutengeneza kadi yako ya M-pesa Mastercard!
 
Asanteeee..... Ila Nihitaji malipo toka kwa google...
 
Nimeipata hyo mastercard kuptia matangazo yao Japo japo cjui inafanyaje kaz... Ntafuatilia hlo...... Naomba uniweke sawa ktk hli......mfano Nima YouTube chanel yang, Instagram na blog ambazo tayar ni monetized..... Wanataka kunilipa.... Natakiwa kuwa na nn au nfanyeje ili kupata pesa yao!?

2) nahitaji kuagiza mzigo toka Uingereza au China kuptia online.... Hatua gan nifuate had kuupata mzigo wangu!?.....


Hayo ndio yalikuwa maswal yangu mkuu... Cna hakika kama jibu ni moja tu yan Mastercard... Niweke sawa mkuu
Asanteeee..... Ila Nihitaji malipo toka kwa google...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…