HahahaUsihusike mwaya. Watu wanamkera Mambembe wa watu na yeye hataki mwenyewe kero zao
hahaaaaSitiiii neno mieeee nikashindwa kulala bure kesho nichelewe kibaruani. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiii inaitwa kukalia kitako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Mimi sihusiki tuu.
Ila yaan niko hapa napata view safi ya uzi huu.
Lisemwalo bhana si la kupuuzia. Ngoja nilisikilize
hahaaaa ogopa sana unapojipnga kukera mtu halafu yule unayemkera akawa hajali kero zako ..yaaani kma hkuoni vile . ...huwa inauma. .!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Halaf ujue hawa jamaa fantastic 4 wako calm tuu yana wao hawapanic
Sasa hapo ndio pana furahisha
Haya mi najiandaa kulala.Hahaha
Mimi sihusiki tuu.
Ila yaan niko hapa napata view safi ya uzi huu.
Lisemwalo bhana si la kupuuzia. Ngoja nilisikilize
Risasi zimeanza kurushwa hewani broHiii inaitwa kukalia kitako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
I dont care nipo mimi kama mimi i dnt gv a fck and i dnt fck with anyone here so niache ntadeal now until ntakapolalahahaaaa ogopa sana unapojipnga kukera mtu halafu yule unayemkera akawa hajali kero zako ..yaaani kma hkuoni vile . ...huwa inauma. .!!!
Bora kulala tuu sasaHaya mi najiandaa kulala.
Haa haa braza niko makinRisasi zimeanza kurushwa hewani bro
Wewe lala chini zisikupate kama yule dogo wa NIT
Kuwa makini
Mkuu ungefunguka kdogo, sana sana hapo kwenye Id!Naona unalazimisha mods kufunga Uzi.
Endelea kutiririka mama maana I'd yako halisi unashow love huku ndio unajitoa ufahamu.
thawaaaaa """vipi hujaolewa !!?maana nahisi kama mumeo anakuhitaji muda huu siwajua tena mambo ya Chakula cha usiku na hili baridi kama tupo Moscow vileI dont care nipo mimi kama mimi i dnt gv a fck and i dnt fck with anyone here so niache ntadeal now until ntakapolala
Eeh bhanaHaa haa braza niko makin
Sana hapa nmejificha chin
Ya meza nachungulia na
Jicho moja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hahaaaa ogopa sana unapojipnga kukera mtu halafu yule unayemkera akawa hajali kero zako ..yaaani kma hkuoni vile . ...huwa inauma. .!!!
Ushabiki wa kike kwa mwanaume haupendezi be you and do you achaa maneno ya kwenye kangaa kwa kujifanyaa kuwa una throw shades[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamaa wametulia kama messi akiwa mbele ya goli. Si watu wazuri hawa.
Eeeeh kishida shda tuEeh bhana
Mi mwenyewe nimejificha ila narekod tukio japo kwa shda hvo hvo