Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Niko apa natumbua tu macho sipitwiAndaa popcorn na glass ya wine. Siku imeanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamaa wametulia kama messi akiwa mbele ya goli. Si watu wazuri hawa.
Tafadhali dada siwezi kuwa fan wa MTU mwenye mental disorders plzzz!!We sina time na ww bwanaa na id yako mpyaa ww kwangu ni fan so sikupi airtime
ungenijibu swali kwanza mkuu ..then ndio ungeniuliza huo ndio utaratibu wetu GT wote na wewe ukiwamo ..haya nijibu swali mkuu then nikujibu swali lkoWe hujaoaa unasubiri nini kumshughulikiaa mkeo??
But mi sja kusema wewe na sina mpango wa kukusema deal with them not meUshabiki wa kike kwa mwanaume haupendezi be you and do you achaa maneno ya kwenye kangaa kwa kujifanyaa kuwa una throw shades
hahaaaaTafadhali dada siwezi kuwa fan wa MTU mwenye mental disorders plzzz!!
Nakuja pm tuyajenge bebi!!
AaaahEeeeh kishida shda tu
Ila chunga sana hyo camera
Haikawii kuvamiwa
Subiri kidogo Mods watasaidia kuunganisha hizi I'd zinachafua MMUMkuu ungefunguka kdogo, sana sana hapo kwenye Id!
hahaaa Hawa Jamaa watu hatari mnooo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Jamaa wametulia kama messi akiwa mbele ya goli. Si watu wazuri hawa.