political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
Umelipata hilo Gazeti ?Hata Mimi nimepitia sehemu nyingi sijaona riba kabisa, au wametageti kuwaba watu wenye pesa ndefu?
Hapana, nimepitia tu Instagram page ya Mamlaka ya masoko na mitaji.Umelipata hilo Gazeti ?
Nasikia riba ni 10.3Hapana, nimepitia tu Instagram page ya Mamlaka ya masoko na mitaji.
Toa linkHapana, nimepitia tu Instagram page ya Mamlaka ya masoko na mitaji.
Hati fungani Moja ni kuanzia Laki 5,wanataka wapate mtaji wa bil.800 plus na watazimwaga dar na London stock exchangeJana wakati naangalia Taarifa ya habari nimeona CRDB Bank wamekuja na Huduma ya CRDB GREEN BOND.
Hii inaweza kuwa Fursa mpya Kwa wenye pesa iliyokaa tu bila kazi.
Embu mwenye kujua zaidi atujuze ili tupeleke sehemu ya pesa tukawekeze huko.
Riba yake ni ngapi? ,Muda wa uwekezaji ni gani? N.k
Wanakopesha Serikali na private sector hususani agribusinessEleza kwa kina mkuu, wanapeleka pesa wapii??
Riba ni 10.25% kwa miaka 5.Hata Mimi nimepitia sehemu nyingi sijaona riba kabisa, au wametageti kuwaba watu wenye pesa ndefu?