Sio lugha YETU. idadi ya watanzania wanao ongea kiswahili ni kubwa kuliko taifa zingine zote ila inawezekana sana Congo ikatupita maana watu 30M wanaongea kiswahili kule.
Faida kubwa ya kua nchi iongeayo kiswahili kuliko zingine ni kua na accademy ya kutunga, kuoanga na kuendeleza kiswahili hapa nchini, alafu tunawaambia walimwengu maana ya maneno ya kiswahili na jinsi gani yanatumika.