Hati mkato na Shorthands

Hati mkato na Shorthands

BROTHER OF BROTHERS

Senior Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
113
Reaction score
159
Tafadhali Sana ninaomba msaada wa Haraka Mimi nimesomea Mambo ya IT na Nina Diploma yake lkn nimeona Tangazo la nafasi za Kazi likiwa linahitaji Mtu anayejua Hati mkato na Shorthands anayechapa maneno 100 Kwa dkk Sasa Mimi naweza Sana Kuchapa ingawa sijui typing speed ya Hati mkato. N

isaidieni je, niombe hii nafasi kibishi au niache? WhatsApp & Call 0739115313
 
Tafadhali Sana ninaomba msaada wa Haraka Mimi nimesomea Mambo ya IT na Nina Diploma yake lkn nimeona Tangazo la nafasi za Kazi likiwa linahitaji Mtu anayejua Hati mkato na Shorthands anayechapa maneno 100 Kwa dkk Sasa Mimi naweza Sana Kuchapa ingawa sijui typing speed ya Hati mkato. Nisaidieni je, niombe hii nafasi kibishi au niache? WhatsApp & Call 0739115313
Hiyo kazi ni kama imekaa ki secretary zaidi kuliko mambo ya IT.

Unaweza kuomba kama unahitaji kazi, inawezekana wanatumia job description za usecretary za zamani.

Wakikuuliza sana kuhusu hiyo, waambie siku hizi kila smartphone ina app ya kurekodi sauti, hivyo kuandika shorthand ni kitu kilichopitwa na wakati.

Itakuwa unawasaidia kuboresha mifumo ya jinsi wanavyofanya kazi, kutoka kizamani, kuja kisasa.
 
Ingekuwa kizamani ningekupa Chet changu,
 
Tafadhali Sana ninaomba msaada wa Haraka Mimi nimesomea Mambo ya IT na Nina Diploma yake lkn nimeona Tangazo la nafasi za Kazi likiwa linahitaji Mtu anayejua Hati mkato na Shorthands anayechapa maneno 100 Kwa dkk Sasa Mimi naweza Sana Kuchapa ingawa sijui typing speed ya Hati mkato. N

isaidieni je, niombe hii nafasi kibishi au niache? WhatsApp & Call 0739115313
Hiyo kazii inahitajii secretary mkuu coz shorthand na Hatimkato ni modulee kabisaa kwa watu wanaosoma secretarial
 
Tafadhali Sana ninaomba msaada wa Haraka Mimi nimesomea Mambo ya IT na Nina Diploma yake lkn nimeona Tangazo la nafasi za Kazi likiwa linahitaji Mtu anayejua Hati mkato na Shorthands anayechapa maneno 100 Kwa dkk Sasa Mimi naweza Sana Kuchapa ingawa sijui typing speed ya Hati mkato. N

isaidieni je, niombe hii nafasi kibishi au niache? WhatsApp & Call 0739115313
Nina shemeji yangu alisomea vitu hivyo. Ni lugha ya tofauti ambayo inaonyesha kubeba maneno mengi Kwa maandishi machache,ila hayatumii herufi za kawaida
 
Hiyo kazi ni kama imekaa ki secretary zaidi kuliko mambo ya IT.

Unaweza kuomba kama unahitaji kazi, inawezekana wanatumia job description za usecretary za zamani.

Wakikuuliza sana kuhusu hiyo, waambie siku hizi kila smartphone ina app ya kurekodi sauti, hivyo kuandika shorthand ni kitu kilichopitwa na wakati.

Itakuwa unawasaidia kuboresha mifumo ya jinsi wanavyofanya kazi, kutoka kizama

Nina shemeji yangu alisomea vitu hivyo. Ni lugha ya tofauti ambayo inaonyesha kubeba maneno mengi Kwa maandishi machache,ila hayatumii herufi za kawaida
Nisaidie connection Kaka
 
Back
Top Bottom