BROTHER OF BROTHERS
Senior Member
- Jun 30, 2013
- 113
- 159
Hiyo kazi ni kama imekaa ki secretary zaidi kuliko mambo ya IT.Tafadhali Sana ninaomba msaada wa Haraka Mimi nimesomea Mambo ya IT na Nina Diploma yake lkn nimeona Tangazo la nafasi za Kazi likiwa linahitaji Mtu anayejua Hati mkato na Shorthands anayechapa maneno 100 Kwa dkk Sasa Mimi naweza Sana Kuchapa ingawa sijui typing speed ya Hati mkato. Nisaidieni je, niombe hii nafasi kibishi au niache? WhatsApp & Call 0739115313
Hiyo kazii inahitajii secretary mkuu coz shorthand na Hatimkato ni modulee kabisaa kwa watu wanaosoma secretarialTafadhali Sana ninaomba msaada wa Haraka Mimi nimesomea Mambo ya IT na Nina Diploma yake lkn nimeona Tangazo la nafasi za Kazi likiwa linahitaji Mtu anayejua Hati mkato na Shorthands anayechapa maneno 100 Kwa dkk Sasa Mimi naweza Sana Kuchapa ingawa sijui typing speed ya Hati mkato. N
isaidieni je, niombe hii nafasi kibishi au niache? WhatsApp & Call 0739115313
Nina shemeji yangu alisomea vitu hivyo. Ni lugha ya tofauti ambayo inaonyesha kubeba maneno mengi Kwa maandishi machache,ila hayatumii herufi za kawaidaTafadhali Sana ninaomba msaada wa Haraka Mimi nimesomea Mambo ya IT na Nina Diploma yake lkn nimeona Tangazo la nafasi za Kazi likiwa linahitaji Mtu anayejua Hati mkato na Shorthands anayechapa maneno 100 Kwa dkk Sasa Mimi naweza Sana Kuchapa ingawa sijui typing speed ya Hati mkato. N
isaidieni je, niombe hii nafasi kibishi au niache? WhatsApp & Call 0739115313
Hiyo kazi ni kama imekaa ki secretary zaidi kuliko mambo ya IT.
Unaweza kuomba kama unahitaji kazi, inawezekana wanatumia job description za usecretary za zamani.
Wakikuuliza sana kuhusu hiyo, waambie siku hizi kila smartphone ina app ya kurekodi sauti, hivyo kuandika shorthand ni kitu kilichopitwa na wakati.
Itakuwa unawasaidia kuboresha mifumo ya jinsi wanavyofanya kazi, kutoka kizama
Nisaidie connection KakaNina shemeji yangu alisomea vitu hivyo. Ni lugha ya tofauti ambayo inaonyesha kubeba maneno mengi Kwa maandishi machache,ila hayatumii herufi za kawaida