Hati ya Dharula yaondolewa

Hati ya Dharula yaondolewa

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2010
Posts
1,037
Reaction score
767
Nipepata tetesi kuwa ile hati ya dharula ya mswada wa sheria ya katiba mpya imeondolewa.Je ni kweli?
 
Yaweza kuwa ni kweli maana baba lao nimesikia juzi kwenye kile kikao chao cha kujivua gamba anasema ilikuwa ni mswada wa ile process ya kukusanya maoni na sio wa katiba mpya.
 
Back
Top Bottom