Eng Kimox Kimokole JF-Expert Member Joined Jun 9, 2010 Posts 1,037 Reaction score 767 Apr 13, 2011 #1 Nipepata tetesi kuwa ile hati ya dharula ya mswada wa sheria ya katiba mpya imeondolewa.Je ni kweli?
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Apr 13, 2011 #2 serikali inaogopa CDM lazima itaondoa, wakipitisha wana hali ngumu
Eng Kimox Kimokole JF-Expert Member Joined Jun 9, 2010 Posts 1,037 Reaction score 767 Apr 13, 2011 Thread starter #3 pangechimbika wallahi
S salizajr New Member Joined Apr 13, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Apr 13, 2011 #4 Yaweza kuwa ni kweli maana baba lao nimesikia juzi kwenye kile kikao chao cha kujivua gamba anasema ilikuwa ni mswada wa ile process ya kukusanya maoni na sio wa katiba mpya.
Yaweza kuwa ni kweli maana baba lao nimesikia juzi kwenye kile kikao chao cha kujivua gamba anasema ilikuwa ni mswada wa ile process ya kukusanya maoni na sio wa katiba mpya.