Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Hee sasa wale waliokua wanasubiria reform ili washiriki uchaguzi itakuwaje?Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi.View attachment 3429259
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ili kutoa nafasi kwako kuweka namba yako.Lucas Mwashambwa kwanini uliacha ile tabia yako ya kuweka namba yako ya simu kwenye kila nyuzi yako?
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi.View attachment 3429259
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Baada ya kujifungua Twins wasiofanana 🐼Lucas Mwashambwa kwanini uliacha ile tabia yako ya kuweka namba yako ya simu kwenye kila nyuzi yako?
Kwa hiyo mwezi juni hamkuvunja Ili muwaongezee wabunge ulaji sio ???Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi.View attachment 3429259
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Aisee hadi Lucas Mwashambwa ana demu tena JF🙄Siwezi kubadili ID wala moyo Wangu kwako ephen_ lazizi wa Moyo ❤️ Wanguuu. Nitabakia kuwa Lucas Mwashambwa kada mtiifu wa CCM. Nipo naendelea kukukusanyia magauni ya CCM ya kutosha ili ubadilishage hata mara tatu kwa siku.
Wale wazushi wa Chadomo wameishia wapi?Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi.View attachment 3429259
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yamejificha uvunguniWale wazushi wa Chadomo wameishia wapi?
🤣 🤣 🤣 🔊ephen_ umefikiwa rasmi na chawa machachari hapa nchini