Ivi kufahamiana na mtu ambae hujui shuhuri zake, let say labda drugs dealer , then uyo akakamatwa,then nawewe kwakuwa unajuananae ukaja ukakamatwa, katka hati ya mashtaka ikaandikwa tarehe fulani mwezi fulani mliuza na kusambaza kitu fulani kinyume na sheria, sasa hapo atajinasua vip uyo ambae amepewa tu kesi, wala hajui lolote, hakuwai kusamambaza wala kuuza au kumuuzia mtu drugs,
Hapo kisheria siinabidi upande Wa mashtaka ilete hao wanaosema kuwa waliwauzia waje wasibitishe kama wanamjua mshtakiwa au washtakiwa , na wathibitishe walimkuta na nyaraka gani kuthibitisha iyo drug kauziwa na mshtakiwa, au ipoje Mkuu,,
Kuna mtu kapewa kesi ya muundo uho ye na rafiki yake