hati ya mashitaka na maelezo ya ph

hati ya mashitaka na maelezo ya ph

abagabo

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
155
Reaction score
168
wakuu naomba mnisaidie,
Katika kesi ya jinai siku ya kwanza uwa naona wanamsomea mshitakiwa kosa lake, na siku ya ph wanasoma maelezo kiundani zaidi.
Je, siku ya ushahidi ni sahihi kwa shahidi kueleza au kutoa maelezo yanayopingana au kutofautiana na maelezo ya ph?
MFANO: Kwenye ph ieleze kuwa uliiba pesa tarehe fulani mali ya fulani, lakini maelezo ya pesa iliyoibwa ilikuwa wapi na mazingira ya wizi yalikuwaje. Maelezo ya ph yasihusishe mambo hayo, lakini siku ya ushahidi shahidi aeleze eti pesa hiyo ilikuwa ilikuwa kwenye godoro/pesa au kwingine kule, je ni sahihi?
 
Back
Top Bottom