Hati ya nyumba

Hati ya nyumba

marko maluli

Senior Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
164
Reaction score
49
Nilikuwa napenda kujuaa hv katika hati ya nyumbaa
.......inatakiwa waandikwe watoto au wazazi wenyewe?
 
Maana watoto wa cku hizi hawaeleweki baadae wakistukia umewaandika wao wanaweza wakasema na hiyo shingo!
Naomba kuuliza tena kama mzazi wako kaoa nyumba ndogo halafu mke mkubwa haishiii naeeee ..........mzazi ambaye ni baba katika hati ya nyumba akaandika jina la mke ndogo lkn watoto wa mke Mkubwa na ndogo wanaish pamoja ikatokea mzazi mmoja kafariki labda father hapi inakuaje
 
Akifariki mmilikiiiii inakuajeeee hapoooo c watoto wanaweza pokonywa maliiiii na nduguuuu au inakuajeeee hapoooo
Unawaachia urithi (mjifunze kuandika wosia) ila mahakama huwapa watoto.

Nje ya mada..... mwandiko wako umenikwaza....kama maliiii na nduguuuu ndio kitu gani???
Maliii = mali
Nduguu = ndugu
Inakuwajeeee= inakuwaje
Hapooo = hapo
 
Aliyeandikwa kwenye hati ndo ana haki zote, labda aamue kuwafikiria hao wengine!
Sawa kaka ilaaa kwa fikra za kawaida mzazi awe na hakiiiiiii kuliko wanaeeeee kweliiiii duuuu maanaaa wanawakeee wengne waluwaluuuu kweliiiii
 
Unaponunua uwanja ukapewa offer.je ukijenga nyumba kwenye ule uwanja unapewa tena offer?
 
Sawa kaka ilaaa kwa fikra za kawaida mzazi awe na hakiiiiiii kuliko wanaeeeee kweliiiii duuuu maanaaa wanawakeee wengne waluwaluuuu kweliiiii

Kuwa serious unapo hitaji msaada ndani ya jukwaa hili, acha mambo ya kish****oga, unapewa muongozo lakini unakomaa tu na maandishi yako ya kingese pyuuu.
 
Back
Top Bottom