marko maluli
Senior Member
- Mar 14, 2015
- 164
- 49
Nyumba ya mzazi ilaaaa nataka kujuaaaaa kama kuandikaaa hati ataandikaaaa watoto au jina lake?Kwan nyumba yanani?
Akifariki mmilikiiiii inakuajeeee hapoooo c watoto wanaweza pokonywa maliiiii na nduguuuu au inakuajeeee hapooooInaandikwa jina la mmiliki
Hati anaandikwa mmiliki... Watoto utawaachia waraka wa urithi kama unaona baadae kuna watu watakuja kuwazingua!Akifariki mmilikiiiii inakuajeeee hapoooo c watoto wanaweza pokonywa maliiiii na nduguuuu au inakuajeeee hapoooo
Sawa kaka nimekupataaaaaaa vzuriHati anaandikwa mmiliki... Watoto utawaachia waraka wa urithi kama unaona baadae kuna watu watakuja kuwazingua!
Maana watoto wa cku hizi hawaeleweki baadae wakistukia umewaandika wao wanaweza wakasema na hiyo shingo!Sawa kaka nimekupataaaaaaa vzuri
Naomba kuuliza tena kama mzazi wako kaoa nyumba ndogo halafu mke mkubwa haishiii naeeee ..........mzazi ambaye ni baba katika hati ya nyumba akaandika jina la mke ndogo lkn watoto wa mke Mkubwa na ndogo wanaish pamoja ikatokea mzazi mmoja kafariki labda father hapi inakuajeMaana watoto wa cku hizi hawaeleweki baadae wakistukia umewaandika wao wanaweza wakasema na hiyo shingo!
Unawaachia urithi (mjifunze kuandika wosia) ila mahakama huwapa watoto.Akifariki mmilikiiiii inakuajeeee hapoooo c watoto wanaweza pokonywa maliiiii na nduguuuu au inakuajeeee hapoooo
anaweza kuandikwa yeyote hata bibi na babu kama wa haiNilikuwa napenda kujuaa hv katika hati ya nyumbaa
.......inatakiwa waandikwe watoto au wazazi wenyewe?
Sawa kaka ilaaa kwa fikra za kawaida mzazi awe na hakiiiiiii kuliko wanaeeeee kweliiiii duuuu maanaaa wanawakeee wengne waluwaluuuu kweliiiiiAliyeandikwa kwenye hati ndo ana haki zote, labda aamue kuwafikiria hao wengine!
Unamfahamu somebody james delicious??????Sawa kaka ilaaa kwa fikra za kawaida mzazi awe na hakiiiiiii kuliko wanaeeeee kweliiiii duuuu maanaaa wanawakeee wengne waluwaluuuu kweliiiii
Unamfahamu somebody james delicious??????
Bora na wewe umeona aisee.....nilikua nawaza km wewe inawezekana akawa ni yeye huu ni mwandiko wake kabisa
Sawa kaka ilaaa kwa fikra za kawaida mzazi awe na hakiiiiiii kuliko wanaeeeee kweliiiii duuuu maanaaa wanawakeee wengne waluwaluuuu kweliiiii