Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Sawa mkuuSawa,ngoja nijikusanye...
Faida Halal...ukijua kucheza na vichwa vya watu raha sana.View attachment 3446918
Wekeza kwenye hati fungani ya miaka 5 inayofuata Shariah.
· Faida Halal 12% ukiwekeza TZS
· Faida Halal 6% ukiwekeza USD
· Gawio mara 4 kwa mwaka
· Itadumu kwa miaka 5 (Utarudishiwa uwekezaji wako)
· Inafuata mkataba wa Ijarah
Wekeza kuanzia TZS 500,000 au USD 1000 na kuendelea.
Kwani kuwekeza fedha ikakuzalishia faida ni haramu? Elimu ni muhimu sana kwa hawa ndugu zetuFaida Halal...ukijua kucheza na vichwa vya watu raha sana.
Kwani kuna mahali nimesema ni haramu?Kwani kuwekeza fedha ikakuzalishia faida ni haramu? Elimu ni muhimu sana kwa hawa ndugu zetu