Hatima ya akina Nchimbi na mama Sophia Simba

Hatima ya akina Nchimbi na mama Sophia Simba

ukimbile

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2015
Posts
212
Reaction score
55
Wana JF wenzangu baada ya timu Lowassa kuangukia pua na akina Nchimbi kukimbilia kwenye media nini kitafuatia.

Mawazo yenu tafadhali.
 
Watashughulikiwa kwa mujibu wa taratibu za maadili ya chama chao. Hakuna walichokosea isipokua kuzungumza na media kuhusu vikao vya chama ambavyo wao kama wana kamati kuu walitakiwa wasemee ndani ya chama na sio nje ili Lowasa ajue kama hawakuchukua bure hela zake, wamezifanyia kazi.
 
Hawatambui maamuzi ya CC hivyo ikiwa maamuzi yale yatamtoa rais wa nchi naye hawatamtambua
 
wajiandae kwan wasiempenda kaja kama kupinga wangepinga ndani ya vikao vya ndani vya chama c kupingana na maamuzi ya chama kwenye media wakati na wao walikuwa ni sehemu ya watoa maamuzi pigo la kwanza ilikuwa pale Pele dodoma baada ya kuzuiliwa getini kushiliki kikao cha mchana bdae wakaruhusiwa pigo la pili ni kukosa ubunge kwan wale wale waliomkata boss wao ndo watawakata wao kwa utovu wa nidhamu ili iwe fundisho next time mtu asilete ujinga huo
 
Kambi zote zilivunjwa Dodoma. Sasa hivi kuna kambi moja tu ambayo ni kambi CCM.

Hakuna msuala ya hatma ya mtu mmoja mmoja. Focus ni ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu.

Umoja ni ushindi
 
Hao wakina nchimbi wanaweweseka na wanaona aibu ni kama walitaka kusaliti chama na umoja,kwani mbwembwe za lowasa hakuna ambaye hakuziona lakini wenye maono walikaa kimya wakijua nini kitatokea mwisho wa siku ya uchaguzi,hao hawana tofauti na kingunge ngombale,naona hata alishindwa kuattend mkutano mkuu na anaona aibu walitaka kutulisha ujinga wanaouamini wao kwa faida zao ili tuyakubali mawazo yao,wao ndiyo walitaka kuleta mpasuko,sophia simba ndumila kuwili alionekana kabisa kwenye mkutano mkuu akushangilia na kuhangaika kutaka ampe mkono magufuri bahati mbaya wakawa wanapishana,na alionekana kujichekeshachekesha kwa jk,jamaa akawa anampotezea alishamuona ni kinyonga
 
Nimeona tweet ya Nchimbi akiamua kwa dhati kumuunga mkono Magufuli sijui kama na kweli maana kuna tweet za vijana wa kikwete wakiapa kuwa eti mtu kutoka kaskazini hatakaa aongoze nchi mabazo nahisi si za kweli
 
hiyo ndani ya ccm c story tena mgombea kapatikana wote sasa wamoja hakuna mshindi zaidi ya ccm..wapinzani ht muungane wote co ukawa tu hesabuni mmeumia toeni kitoroli chenu kibovu relini tren lipite...
 
Sophia Simba hatamaliza muhula wake wa uenyekiti wa UWT. Ataondololewa tu kama Tibaijuka alivyong'olewa CC
 
Akina Nchimbi afadhali maana bado umri unawaruhusu wanachotakiwa nikufanya na kuishi kinafiki kama Mfumo wa Chama chao ulivyo.
Lakini mimi nawaonea huruma huyu Mzee na Edo hawa hawana chakupoteza bora kupambana vile-kwenye vita mpiganaji hufa na sila yake Mkononi- harakati ya Lowassa itakuwa imewakwaza wengi kurudi nyuma ni hatari kuliko kwenda mbele,
Hili litawaumiza wanasiasa vija waliokuwa kwenye kundi lake.

Kama atasurender ni bora awe mwenyewe lakini timu ya watu waliomuunga ni bora ikaelekeza nguvu yake kwenye Ubunge na Udiwani ili mbele ya safari wawe na sauti ndani ya Chama na huko nako kama watakutana na Mkasi uliomfyeka Lowassa basi plan B ni muhimu kwenye hatua hiyo.


 
Msidanganyike na minenguo ya TOT pale ukumbi, ccm sio moja tena. Na wakuu wanalifahamu hilo ila wapiga miluzi hawaelewi. Wao wakiona vicheko ukumbini wanadhani watu wale wanaelewana,mbona hakuna anayemuamini mwenzake kiasi hakuna hata kunywa Maji ya ukumbini wanayoletewa?
Hali inatisha ndani ya ccm kwa sasa
 
Back
Top Bottom