Bacary Salama Member Joined Feb 14, 2017 Posts 52 Reaction score 32 Mar 29, 2017 #1 Nilikuwa natafakari tu nikaona niulze mwenye kujua je Rc makonda huko bungeni kwenye kamati ya maadili nini kitakachoendelea?
Nilikuwa natafakari tu nikaona niulze mwenye kujua je Rc makonda huko bungeni kwenye kamati ya maadili nini kitakachoendelea?
habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,791 Reaction score 8,749 Mar 29, 2017 #2 Bacary Salama said: Nilikuwa natafakari tu nikaona niulze mwenye kujua je Rc makonda huko bungeni kwenye kamati ya maadili nini kitakachoendelea? Click to expand... Hakuna ajuaye Japo naweza nasema, kiini macho tu, hakuna jipya Endeleeni na kazi
Bacary Salama said: Nilikuwa natafakari tu nikaona niulze mwenye kujua je Rc makonda huko bungeni kwenye kamati ya maadili nini kitakachoendelea? Click to expand... Hakuna ajuaye Japo naweza nasema, kiini macho tu, hakuna jipya Endeleeni na kazi
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Mar 29, 2017 #3 Unategemea nini zaidi ikiwa mkuu yuko nyuma yake! Wee endelea kusaka ugali wako achana na wenye nji(nchi)
Unategemea nini zaidi ikiwa mkuu yuko nyuma yake! Wee endelea kusaka ugali wako achana na wenye nji(nchi)
zange Member Joined Mar 25, 2017 Posts 24 Reaction score 31 Mar 29, 2017 #4 Naona hakuna kitu pale laiti wangekuwepo waponzani hata wawili kwenye hiyo kamati tungesikia jambo am not sure kama wapooo
Naona hakuna kitu pale laiti wangekuwepo waponzani hata wawili kwenye hiyo kamati tungesikia jambo am not sure kama wapooo