Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,703 Reaction score 1,724 Apr 30, 2018 #1 Wakuu, sijasikia hitimisho la kurejeshwa timu ya U17 ya Zanzibar kwa tuhuma ya kukiuka umri wa baadhi ya wachezaji kwenye michuano ya CECAFA iliyomalizika hivi karibuni nchini Burundi. Palikuwa na povu jingi kwa upande wa SMZ.
Wakuu, sijasikia hitimisho la kurejeshwa timu ya U17 ya Zanzibar kwa tuhuma ya kukiuka umri wa baadhi ya wachezaji kwenye michuano ya CECAFA iliyomalizika hivi karibuni nchini Burundi. Palikuwa na povu jingi kwa upande wa SMZ.
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,445 Reaction score 205,933 Apr 30, 2018 #2 Kwani kuna vijeba vilivyo bainika humo?
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,703 Reaction score 1,724 Apr 30, 2018 Thread starter #3 Davet said: Kwani kuna vijeba vilivyo bainika humo? Click to expand... Timu nzima ilirejeshwa nyumbani kwa kosa la umri mkuu.
Davet said: Kwani kuna vijeba vilivyo bainika humo? Click to expand... Timu nzima ilirejeshwa nyumbani kwa kosa la umri mkuu.
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,445 Reaction score 205,933 Apr 30, 2018 #4 Jacobus said: Timu nzima ilirejeshwa nyumbani kwa kosa la umri mkuu. Click to expand... Kwani hii CECAFA inatambuliwa na FIFA?
Jacobus said: Timu nzima ilirejeshwa nyumbani kwa kosa la umri mkuu. Click to expand... Kwani hii CECAFA inatambuliwa na FIFA?
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 May 1, 2018 #5 Wazoe va kunyonga va kuchinja ..........