Hatima ya wanafunzi wa Kozi za Afya KIU kujulikana wiki mbili zijazo

Hatima ya wanafunzi wa Kozi za Afya KIU kujulikana wiki mbili zijazo

Joined
Oct 10, 2014
Posts
14
Reaction score
4
Hii ni baada ya wanafunzi wa kozi za afya kufanya mgomo uliodumu kwa siku 5, serikali yakiri kufanya uzembe ni baada ya kukutana na wanafunzi hao na kuwaomba kutulia kwa muda wa wiki mbili ambazo serikali imeahidi itakuwa imelifanyia kazi suala hili na kutoa majibu.

Kwa sasa wanafunzi wataendelea kuingia madarasani kama kawaida huku wakisubiri muafaka kati ya seikali na chuo hiki.
 
Aksante kwa taarifa...vip unaweza bashili majibu ya serikali? Watakifungia au usajilu utapatikana
 
siyo kwel achen kudanganya umma wadu kampala international university hakijasajiliw na hakiwez kusajiliw kwasababu hakina sifaaa
 
Back
Top Bottom