joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kuna baadhi ya viongozi wa "counties" baada ya kuona serikali ya Nairobi haijui la kufanya kupambana na kuenea kwa maambukizi ya Corona, waneamua kuiga mbinu za Tanzania, alianza Joho wa Mombasa, akafuatia Sonko, hongereni kwa kujiongeza, acha hao wanairobi waendelee kupima " aimlessly" bila kuchukua hatua zozote, bila shaka hizo statistics zitawasaidia kuombea pesa toka kwa wazungu.
Sent using Jamii Forums mobile app