joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Uko obsessed na Kenya wewe. Duh! Unakula, unakunywa, unalala Kenya asubuhi, mchana na Usiku ni Kenya. Kila siku ya wiki ni Kenya. Jichunge usije ukapoteza muda wako wote JF ukiiwaza Kenya ilhali Wakenya wanasukuma gurudumu la maisha kama kawaidaKuna baadhi ya viongozi wa "counties" baada ya kuona serikali ya Nairobi haijui la kufanya kupambana na kuenea kwa maambukizi ya Corona, waneamua kuiga mbinu za Tanzania, alianza Joho wa Mombasa, akafuatia Sonko, hongereni kwa kujiongeza, acha hao wanairobi waendelee kupima " aimlessly" bila kuchukua hatua zozote, bila shaka hizo statistics zitawasaidia kuombea pesa toka kwa wazungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Give Him Time Bro. Hutajua akipotea JF...pride comes before a fall.Uko obsessed na Kenya wewe. Duh! Unakula, unakunywa, unalala Kenya asubuhi, mchana na Usiku ni Kenya. Kila siku ya wiki ni Kenya. Jichunge usije ukapoteza muda wako wote JF ukiiwaza Kenya ilhali Wakenya wanasukuma gurudumu la maisha kama kawaida
Hongera nyingi na shukrani zimfikie Magufuli 'The Anointed One'. Wachina, waitaliano na wamerekani pia wafuate muongozo wa Mzee, la sivyo dunia yote lazima itaangamia, isipokuwa Tz.
Nina matumaini kwamba viongozi wa Kenya watamuiga Magufuli, jembe la kweli, kwa hilo pia. Waliowapiga raia bakora lazima watapandishwa vyeo.Mmeishia wapi kwenye bakora ?
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Mbona Uzi huu nimesifia hizi juhudi za wakenya za kupambana na Corona, au hujauelewa huu Uzi?Nitakwambia Bro wewe endelea kufurahia mabaya ya Wakenya. Chunga Sana ungonjwa huu usije kuwamaliza watanzania Kisha Wakenya waje Tz kuyachukua mashamba na nafasi za kazi baada ya Corona kuwamaliza watu. Hilo ndilo ombi lako na litatimia tu.
Aah wapi! Unatafuta njia mbadala ya kuiponda Kenya ukitumia nyuzi za kinafiki.Mbona Uzi huu nimesifia hizi juhudi za wakenya za kupambana na Corona, au hujauelewa huu Uzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninaipenda sana Kenya, sina ubaya na Kenya kabisa.Aah wapi! Unatafuta njia mbadala ya kuiponda Kenya ukitumia nyuzi za kinafiki.
HeheeNitakwambia Bro wewe endelea kufurahia mabaya ya Wakenya. Chunga Sana ungonjwa huu usije kuwamaliza watanzania Kisha Wakenya waje Tz kuyachukua mashamba na nafasi za kazi baada ya Corona kuwamaliza watu. Hilo ndilo ombi lako na litatimia tu.