Baada ya CCM kula spana za kutosha kuhusu kutumia akaunti rasmi za Seriklai ikiwemo Youtube channel ya Ikulu naona somo limewaingia. Jana Septemba 18, 2025 wakati mama akifanya kampeni zake Nungwi, Zanzibar walikuwaa live kupitia Youtube channel ya chama chao.
Kwa hiyo serikali imekuwa juu ya Chama!!! CCM si ndiyo wanaongoza serikali!? Labda mrusha matangazo akipata udhuru...sidhani kama Kuna spana kwa Sasa za kuitetemesha CCM, Hajui alikuwa hatanii Jana.