pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Wau wamebeba zao taulo mnataka tugeuzie macho huko?Kwa Sasa Hbr za Sajili,sijui Chama,sijui Skudu,sijui Kibabage Weka Pembeni.....
Macho na Masikio Wa Jamii ya Soka Tz Yapo Mlima Kilimanjaro , juu ya KIBEGI..
KIBEGI Kimefika.? Kina nini KIBEGI.?
Jambo Hili Likiisha tu... tutageukia tena Usajili wa Kibabage ...!
Usikonde.!
Vuvuzela lenu Ahmed Ally ameshindwa kupanda mlima hata Horombo hajafika.Kwa Sasa Hbr za Sajili,sijui Chama,sijui Skudu,sijui Kibabage Weka Pembeni.....
Macho na Masikio Wa Jamii ya Soka Tz Yapo Mlima Kilimanjaro , juu ya KIBEGI..
KIBEGI Kimefika.? Kina nini KIBEGI.?
Jambo Hili Likiisha tu... tutageukia tena Usajili wa Kibabage ...!
Usikonde.!