Hatimae Jide kimeeleweka

Kimeeleweka!
Nilifikiri kapata mimba kuingia ndani hola
 
Tangu ile issue ya sugu na clouds media mwana fatuma nilishamtoa thamani. Kwa hili amezidi kunithibitishia jamaa ni kibaraka wa clouds.
Kuitwa MWANA FATUMA sawasawa
 
Show imedhaminiwa na CCM. Ndio Maana Nape Kaalikwa.
 

kamanda sugu aka kinega mkuu nae atakuwepo kumpa shavu jay dee. Nimemsikia jana kwenye maskani ya times fm akijitangaza. Hamza kalala nae ndani
 
"Redio imejaa mashoga watangazaji wanaliwa kama mboga ninapokuwa na jambo huwa mimi sifichi rugay bonge la snitch eti anaanzisha chama wakati yeye ndio chanzo cha mziki kukwawa"-sugu

Mkuu hapa umemaliza kila kitu.. Hata Ru-Gay nasikia anampanda MwanaFAtuma Binti Hamis
 
Hivi Nyani Ngabu wewe na Jay Dee mlikosana nini? Maana kila thread inayomuhusu JIDE huwa unaiponda, funguka ndugu.

Nyani Ngabu anamtaka Gadner,kwa hiyo anamuonea wivu Jay dee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…