Hatimae Jide kimeeleweka

"Redio imejaa mashoga watangazaji wanaliwa kama mboga ninapokuwa na jambo huwa mimi sifichi rugay bonge la snitch eti anaanzisha chama wakati yeye ndio chanzo cha mziki kukwawa"-sugu

hata huyo uliyemkoti ndo hao hao mkuu...asikupe shida huyo anatetea wenzake...
 
Mwana fa atajilaumu for the rest of his life,kwa huu upuuzi alioufanya yaani kama vile alikurupuka hakufanya feasibility study kujua consequence ya hii kitu,kwa namna moja ama nyngne amepoteza wapenzi ambao walikuwa wanamuunga mkono mmojawapo nikiwepo mimi.
 
Ninakerwa sana ninapoona watu wananyanyaswa,eti kwasababu kuna watu wanauwezo,naona sisi wengine wa Mikoani Dua zetu zinaanza kuzaa matunda.kila laheri COMANDO.
 

Kagongwe...
 
hata huyo uliyemkoti ndo hao hao mkuu...asikupe shida huyo anatetea wenzake...

kwa kua sugu ni msanii obvious anatetea wasanii wenzake na pia kama shade minister ana haki ya kuongelea.
 

copy iende kwa Nas daz
 
Last edited by a moderator:
kamanda sugu aka kinega mkuu nae atakuwepo kumpa shavu jay dee. Nimemsikia jana kwenye maskani ya times fm akijitangaza. Hamza kalala nae ndani

mkuu umeongea kweli, baada ya kuona show itapendeza baadhi ya wasanii wanaomba kushiriki lakini imeonekana muda wa kupata jukwaani hautatosha labda wafanye siku mbili. mia
 
Nyumbani lounge patatosha kweli, ka vpi iamishiwe Leaders.
 
Kwani MwanaFatuma kaandaliwa wapi na radio wafu kutumbuiza siku hiyo?
 
Nipo tabata hizo tiket napata wapi huku? Sitaki kukosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…