Hatimae Juma Jux ashusha ndinga nyeupe

Kibongo ili umaintain kwenye game lzm ufanye vtu kama hivi,sitoshangaa kusikia kuwa Vanessa ndo kashika camera hapo
 
Kwenye huu uzi inanukia jealous tupu. Kama huwezi kupiga stori na watoto wazuri matokeo yake ndio hayo. Acheni hizo wazee, mambo mengine chukulieni poa tu.
 
Jux anafanya shootings kwa ajili ya ku advertise vivutio vya utalii Tanzania.Ni project hiyo na wanalipwa wote hao.Demu ni mthailand na amemaliza chuo cha medical guangzhou.Wamependezesha mbuga zetu kwa kweli
 
Jux kasomea huko Macau hong Kong so kuwa na mtoto mzuri kama huyo ni kawaida na pia wakat anasoma ndo enzi zile za ngada kwa sana hivyo alikua ana mpunga sio wa kitoto. Tuseme huyu alisoma nae.
Jux anaelimu gani?
 
Hii picha hawakuipiga vizuri kwani imekuwa kama ya kuigiza kabisa. Champagne haijafunguliwa, gilasi za wine ziko tupu, matunda kwenye tray ni zaidi ya kiasi kinachoweza kuliwa na watu wawili, halafu matunda ya kwenye kisahani hayana uhusiano kabisa na yale ya kwenye tray, na mwisho hakuna uma na kisu kwa ajili ya matunda hayo. Hiyo siyo pozi nzuri kwa watu walioko mapumzikoni.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…