Wataelewaatyuu mpwaaaa kajaaaKama kuna mtu aliyechaguliwa simba asili ni kaduguda ,hatimae wamempitisha ili akawasemee , Mimi nafkir mjumbe wa kwanza kujiuzulu au kufukuzwa ni huyu ,Yaan patachimbika mno?
Nb. Kaduguda nampenda sana japo ni mwanasimba. Mzee wa chapati na makofi.
Mpwaaaa jamaaa mpambanajii MPAKA.nimemwogopaaa niliposikia JINA lake aiseeSimba wa yuba is back
Ova
Mimi najiuliza kwanini walimpitishaMpwaaaa jamaaa mpambanajii MPAKA.nimemwogopaaa niliposikia JINA lake aisee
He is back, ujanja ujanja hapendi kabisa.Simba wa yuba is back
Ova
Jidanganye wew hiyo timu ni ya wanachama ,tens wananguvu ya maamuzHuu sio mfumo wa majungu wala vikao vya kahawa.Wajumbe wa Bodi wanatengeneza sera ambazo zinatekelezwa na sekreterieti.
Hawana nafasi ya moja kwa moja ya kazi za kila siku za Simba.
Wakishatengeneza sera wanawapa watekelezaji wafanye kazi.
Wapo wataoajiriwa kwa kazi hiyo.Ni mtindo wa kisasa unaomaliza tabia ya klabu kuendeshwa kienyeji.
Wanadhan kaduguda ni kama manaraWataelewaatyuu mpwaaaa kajaaa
Ngojaa nkakojoe kwanza
Exactly... Ni zaidi ya mfumo wa kale.Huu sio mfumo wa majungu wala vikao vya kahawa.Wajumbe wa Bodi wanatengeneza sera ambazo zinatekelezwa na sekreterieti.
Hawana nafasi ya moja kwa moja ya kazi za kila siku za Simba.
Wakishatengeneza sera wanawapa watekelezaji wafanye kazi.
Wapo wataoajiriwa kwa kazi hiyo.Ni mtindo wa kisasa unaomaliza tabia ya klabu kuendeshwa kienyeji.
Kura zilitosha...that means he has something to offer to our club.Mimi najiuliza kwanini walimpitisha
Ndani ya miezi sita watamtimua maana hatakubali upuuzi upuuzi wao.Kama kuna mtu aliyechaguliwa simba asili ni kaduguda ,hatimae wamempitisha ili akawasemee , Mimi nafkir mjumbe wa kwanza kujiuzulu au kufukuzwa ni huyu ,Yaan patachimbika mno?
Nb. Kaduguda nampenda sana japo ni mwanasimba. Mzee wa chapati na makofi.
Wadanganye mbumbumbu wenzio,iwe je last say itoke kwa mtu mwenye minority share?. Wanachama bado wana nguvuUnaijua katiba mpya ya Simba?Kuna Bodi ya wakurugenzi. Mwenye last say ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi naye ni mwekezaji.
Kulikuwa na bodi ya wakurugenzi ya dharura .
Baada ya uchaguzi kwa mfumo huo mpya hamna longolongo wa vikao vya majungu.
Sera itakayotengenezwa itakuwa na mipaka kwa kila mjumbe.
Kama ulidhani magumashi yataendelea utaona mwenyewe.
Yule habebi uchafuNdani ya miezi sita watamtimua maana hatakubali upuuzi upuuzi wao.
Unamaanisha wanachama ambao uwakilishi wao ni wa akina kaduguda?katka maswala ya hisa mwenye sauti ni yule mwenye hisa kubwa mwekezaji ana hisa 49 wanachama wana hisa 51 kama ikitokea kutokuelewana maamuzi yatafanywa kwa wingi wa hisa