Hatimae kampala inetrnational university hali yawa shwari.

njox

Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
58
Reaction score
19
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo eleza, kwasasa hali ya tulia katika chuo hicho na hakuna vurugu zozote zinazo endelea.
 
Ndugu zetu naona mambo yao Shwari sasa,ila tatizo mswahili kwenye shida Upo nae mambo yakiwa poa wanapotea,jamaa mambo yao yameshanyooka ndio maana wametulia wanapiga kitabu sasa,ongereni sana vijana.
 
Serikali inajenga usugu mioyoni mwa watoto maana tatizo kusuluhishwa ndani ya mda mfupi mpaka watoto wapigwe mabomu na virungu na hatimaye kufunga vyuo wakati ukichunguza kiumakini tatizo liko kwa Serikali.
Tusubiri kuiona Tanzania kuwa na watu kama Boko haramu na vijana wa kisomali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…