Hatimae Kibu Denis ajipata afunga goli ligi kuu ya NBC baada Ya miaka wiwili.

Hatimae Kibu Denis ajipata afunga goli ligi kuu ya NBC baada Ya miaka wiwili.

Wakuu,
Jamaa kauona mwezi, Kibu Denis mchezaji machachari wa klabu ya Simba sc amefanikiwa kupata goli lake la kwanza tokea afunge kwa mala ya mwisho kwenye ligi ya NBC dhidi ya YANGA December 5 2023

Toa neno la pongezi kwa nguli huyu wa mpira Tanzania
Hamna mchezaji humo
 
Halafu cha kushangaza, leo alikuwa anacheza taratibu sana. Zile hamsha hamsha zake leo hakuwa nazo ila ndiyo ametupia goli 2.
 
Ana magoli mengi ya Mashindano ya kimataifa kuliko mfungaji yeyote wa Yanga msimu huu.

Kupanga ni kuchagua
 
Back
Top Bottom