Hatimae Kitendawili Kimetatuliwa

Toosie Slide

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
788
Reaction score
955
Salaam
Ni kitendawili Cha picha ambacho wengi walikua wakijiuliza watachomokaje?.
Upo juu ya mti umening'inia kwenye tawi, kwenye huo mti Kuna nyoka mwenye sumu Kali anakufata. Chini Kuna mto wenye maji ambapo Kuna mamba. Nchi kavu Kuna Simba.
Je, utahishikilia tawi kwa mda gani?
Tuangalialie utatuzi....
 
Hakuna uhalisia hapo
 
Mzee Simba haamini anachokiona πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii picha ilikuwa sebleni kwetu kwa miaka mingi sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui hata alieinunua alikwa na lengo gani
 
Hii picha ilikuwa sebleni kwetu kwa miaka mingi sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui hata alieinunua alikwa na lengo gani
Aisee..
ilikuwepo nyumbani pia, inanikumbusha utotoni...
na siku hizi nimabaki kuwapa kama kitendawili watoto wangu na bila kupata jibu mpaka leo....
 
Aisee
 
Wakati Simba akimwangalia Huyu mtu kwa matamanio, kwakuwa yupo juu, Cha ajabu

Licha ya binadamu kuwa nchi kavu bado Simba anaangalia juu tu
 
Hii picha ilikuwa sebleni kwetu kwa miaka mingi sana[emoji23][emoji23][emoji23] sijui hata alieinunua alikwa na lengo gani
Lengo ni kujifunza kuwa,katika maisha kuna wakati unaweza kuwa katikati ya shida na wakati mgumu sanaaa.Kwahiyo pamoja na ugumu huo yatupasa kutafuta namna ya ufumbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…