TURIAN
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 170
- 246
Ni siku nyingi sana sijatembelea huu mkoa wetu pendwa. Leo nimeingia Muheza mjini japo kuwa sio kwa heri Bali kushiriki mazishi ya Babu yangu Mpendwa aliyetuaga majuzi kwa kuumwa.
Julius
Sent using Jamii Forums mobile app
Julius
Sent using Jamii Forums mobile app