Hahahaha na Mimi ni MTU wa Tanga piaJitahidi tu lengo liwe msiba Kaka ... yasije yakawa mengine ndugu yangu, Ya Tanga mengi sana!
Nashukuru ila mimi sihitaji pweza mkuuUkimaliza msiba njoo Tanga city st 18 kijiwe cha pweza ushtue kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pande hizo kuna watoto Waziri tuje?Ukimaliza msiba njoo Tanga city st 18 kijiwe cha pweza ushtue kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app